Hawa ndio baadhi ya wanawake wenye nguvu kisiasa Afrika.
![]() |
| Ellen Johnson Sirleaf - Rais wa Liberia |
![]() |
| Joyce Banda - Rais wa Malawi |
![]() |
| Ngozi Okonjo-Iweala - Waziri wa Fedha, Nigeria |
![]() |
| Luisa Dias Diogo - Aliwahi kuwa Waziri Mkuu, Mozambique |
![]() |
| Anna Makinda - Spika wa Bunge, Tanzania Ni umahiri wa wanawake hawa ndio unaotupa nguvu sisi kama wanawake na kutuongezea kujiamini. |





No comments:
Post a Comment