Monday, August 27, 2012

WAZO LA LEO

''Kila kitu kina uzuri wake, lakini sio kila mtu analiona hilo - Confucius''

1 comment:

  1. Watu wanaonaga mabaya tu, hayo ndo macho tuliyonayo..Mungu peke yake ndo huwa anaangaliaga pande zote, uzuri wa kitu na ubaya wa kitu

    ReplyDelete