Friday, August 24, 2012

Nikihojiwa na ITV kuhusu EBSS wiki chache zilizopita

Naamini kuwa mtu akipewa nafasi ya kuonyesha uwezo wake aidha kimziki au kiufanisi basi achukue nafasi hiyo kuonyesha kipaji chake kwa umahiri mkubwa. Siku zote katika maisha usichukulie nafasi unayopewa kama mzaha, bali jitahidi juhudi zako zionekane.

1 comment:

  1. ni kweli madam, siku zote opportunity haiji mara mbili, so unapopata itumie vizuri na usijisahau wala usizoee bali fanya kwa moyo wote kana kwamba ni kitu kipya kwako....utafanikiwa....m your number one fan, Rita

    ReplyDelete